Writing, marketing, and publishing courses delivered to your mail inbox. These short courses are meant to help you sharpen your writing and marketing skills. The courses are taught by teachers who are well experienced in their fields. Start your day by learning something new worthy making you better.
Kila uandishi una mtindo wake, iwe kuandika riwaya,
mashairi, pendekezo na n.k. Katika kozi hii utajifunza; mitindo minne ya uandishi
na mambo ya kuzingatia unapoandika kuandika kitabu.
Taught by Daudi Lubeleje
Inawezekana umetamani sana kuandika riwaya, lakini hujui pa kuanzia. Katika kozi hii ya siku tano utajifunza mambo mbalimbali ikiwemo: wazo zuri la hadithi hutoka wapi?, nini umuhimu wa ubunifu, mbinu za kuisukuma hadithi na uhariri.
Taught by Esther Karin Mngodo
Kuandika makala gazetini inakupa wigo au uwanja mpana wa wewe kama mwandishi kujitanua
katika kazi zako za kiuandishi, na utalifikia kundi kubwa la watu kiurahisi zaidi.
Taught by Linus Siwiti
Katika kozi hii utajifunza, kutaja machache, maana ya ushairi, umbo la shairi, tenzi, msuko, mathnawi, uhuru wa mshairi na kadhalika. Ni kozi ya siku 5 ambayo itakupa ujuzi wa kukuwezesha kuandika mashairi mara umalizapo tu kusoma.
Taught by Omari Juma Kimweri
SANAA YA UBUNIFU WA JALADA NA SAIKOLOJIA YA HADHIRA
Kitabu chenye makosa kinamwondolea ladha nzuri na tamu msomaji. Kwa hiyo kukipitia na kukihariri kitabu chako ni jambo lisilokwepeka. Inawezekana kitabu kikawa hakina makosa kwa asilimia 100%.
Taught by Daudi Lubeleje
Unapoingia katika uandishi wa vitabu, au tuseme, unataka kuwa mwandishi wa vitabu, na ni ndoto yako ambayo unataka kuitimiza, kuna hatua ambazo utatembea katika hizo, tunaita hatua katika uandishi wa vitabu..
Taught by Daudi Lubeleje